Spika
wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimkaribisha Rais wa Bunge la Switzerland
(Uswisi), Mhe. Maya Graf, wakati alipofika Ofisini kwake Bungeni jijini
Dar es Salaam, leo mchana kwa ajili ya mazungumzo. Kulia ni Balozi wa
Uswisi hapa nchini, Mhe. Olivier Chave.
Spika
wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa katika mazungumzo rasmi na Rais wa
Bunge la Switzerland (Uswisi) Mhe. Maya Graf, (wa pili kulia) wakati
alipofika Ofisini kwake Bungeni jijini Dar es Salaam, leo mchana kwa
ajili ya mazungumzo pamoja na ujumbe wake. Waliopamoja na Spika Makinda
ni Baadhi ya Maafisa kutoka Ofisi ya Bunge
Rais wa Bunge la Switzerland, Mhe. Maya Graf akifurahia zawadi aliyopewa na mwenyeji wake mara baada ya mazungumzo yao leo
Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge
0 comments:
Post a Comment