Saturday, October 5, 2013


01Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia ukanda wa Afrika kwa nchi za Tanzania Burundi na Uganda Philippe Dongier akitoa utangulizi wa tafiti zinazohusu ruzuku katika  sekta ya kilimo katika siku ya pili (05 Oktoba) ya mkutano wa tathmini ya mapitio ya mwaka 2013 juu ya  matumizi ya fedha za umma wa unaofanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa  Mwalimu Julius Nyerere leo jijini Dar es salaam.02Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu Stephen Wassira akisaini kitabu cha wageni siku ya pili (05 Oktoba) ya  kufunga mkutano wa tathmini ya mapitio ya mwaka 2013 juuya  matumizi ya fedha za umma wa unaofanyika kwa siku mbili katika ukumbi wa Kimataifa wa  Mwalimu Julius Nyerere leo jijini Dar es salaam.03Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwilile akimkaribisha Mgeni rasmi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu Stephen Wassira kutoa hotuba ya kufunga mkutano wa tathmini ya mapitio ya mwaka 2013 juu ya  matumizi ya fedha za umma wa unaofanyika kwa siku mbili katika ukumbi wa Kimataifa wa  Mwalimu Julius Nyerere leo jijini Dar es salaam.04Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu Stephen Wassira akitoa hotuba ya kufung mkutano wa tathmini ya mapitio ya mwaka 2013 juuya matumizi ya fedha za umma wa unaofanyika kwa siku mbili tarehe (05- Oktoba) katika ukumbi wa Kimataifa wa  Mwalimu Julius Nyerere leo jijini Dar es salaam.
05Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwilile (kulia) akimshukuru na kumpongeza Mgeni rasmi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu Stephen Wassira (kushoto) mara baada ya kutoa hotuba ya kufunga mkutano wa tathmini ya mapitio ya mwaka 2013 juu ya  matumizi ya fedha za umma wa unaofanyika kwa siku mbili katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere leo jijini Dar es salaam.06Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu Stephen Wassira (kulia) na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwilile (kushoto) wakiwa pamoja wakati wa kufunga mkutano wa tathmini ya mapitio ya mwaka 2013 juuya  matumizi ya fedha za umma wa unaofanyika kwa siku mbili tarehe (05- Oktoba) katika ukumbi wa Kimataifa wa  Mwalimu Julius Nyerere leo jijini Dar es salaam.0708Baadhi ya washiriki wa mkutano wa mkutano wa tathmini ya mapitio ya mwaka 2013 juu ya  matumizi ya fedha za umma wa unaofanyika kwa siku ya pili (05 Oktoba)  katika ukumbi wa Kimataifa wa  Mwalimu Julius Nyerere leo jijini Dar es salaam.
 (Picha zote na Eleuteri Mangi – Maelezo)

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video