REDCROSS TANZANIA WAJITOLEA HUDUMA MBALIMBALI SIKUKUU YA EID UFUKWE WA COCOBEACH Mwenyekiti wa Tawi la MZIZIMA branch Ilala Dr,Suphian aliyevaa kofia nyekundu katikati akitoa ufafanuzi wa majukumu kwa wanachama wa Redcross Tanzania.Majukumu ya kuokoa waliozama maji,kupotea,kuumia,na mengineyo. Wanachama wa Redcross Tanzania na raia wa Redcross Germany wakiwa katika moja ya majukumu waliyopangiwa na kiongozi wao hapo ufukweni. Mwenyekiti wa Mzizima branch aliyeshika kipaza sauti akihojiana na kijana aliyepotea hapo ufukweni mwenye umri wa miaka saba. Huu ndio umati unaokadiriwa na umethibitishwa kuhudumiwa na vijana arobaini (40) wa Redcross waliojitolea kwa tatizo lolote.
0 comments:
Post a Comment