Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akibonyeza kitufe kuzindua rasmi Mradi
wa Umeme Wilaya ya Kisarawe Eneo la Mzinga leo mchana. Wanne kushoto
ni Waziri wa Nishati na Madini Professa Sospeter Muhongo,Watatu
kushoto ni Mbunge wa Kisarawe Mhe.Athumani Jaffo, Kushoto ni Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO,Mhandisi Felchesmi Mramba na kulia ni Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete.(picha na Freddy Maro)
0 comments:
Post a Comment