Mkuu wa Chuo Cha Ualimu Vikindu Bi.Theodosia Rwechungura akiteta jambo na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati Rais Kikwete alipokwenda chuoni hapo Kukagua ujenzi na Kuweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Jengo la Utawala na Mabweni chuoni hapo.Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi Mkoani Pwani kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo.(picha na Freddy Maro)Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mkuu wa Chuo Cha ualimu Vikindu Bi. Theodosia Rwechungura wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa Jengo la Utawala na Mabweni katika Chuo hicho huko Vikindu,Wilaya ya Mkuranga,Mkoani Pwani jana.Kushoto ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na kulia ni Waziri Wa Elimu Dkt.Shukuru Kawambwa.
RAIS DKT. KIKWETE AZINDUA UJENZI WA MABWENI CHUO CHA UALIMU VIKINDU

0 comments:
Post a Comment