Friday, October 4, 2013

D92A0423Vijana wa Scout wakimvisha skafu Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mafia leo asubuhi ambapo alifungua uwanja wa ndege wa Mafia na kuzindua Gati la Mafia.Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi ya mkoa wa Pwani.D92A0558Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa kuashiria kuzindua rasmi uwanja wa Ndege Mafia uliojengwa kwa ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na mfuko wa Millenium Challenge Corporation (MCC), Kulia ni Mratibu wa shughuli za MCC nchini Bwana Bernard Mchomvu na katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Bi Mwantumu Mahiza na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete(picha na Freddy Maro).D92A0931Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wananchi wa wilaya ya Mafia muda mfupi kabla ya kuzindua rasmi Gati la Mafia jana asubuhi.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video