Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania
Jaap Frederiks,alipofika jana Ikulu Mjini Zanzibar kwa madhumuni ya
kusalimiana na Rais. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Jaap Frederiks, alipofika jana Ikulu Mjini Zanzibar. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Jaap Frederiks,baada ya mazungumzo yao,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
0 comments:
Post a Comment