Muuguzi wa Hospitali ya Tanwat, Asnath Mdakule akitoa huduma ya upimaji wa afya ya magonjwa ya shinikizo la damu ‘BP’ na
uwiano kati ya urefu na uzito kwa mmoja wa wananchi waliotembelea banda la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), wakati maonesho ya uzinduzi wa mkoa mpya wa Njombe, ikiwa ni moja ya huduma zinazotolewa na shirika hilo katika mafao ya Matibabu. (Picha na Shaban Lupimo)

Muajiri
Mkubwa wa NSSF Njombe ambae ni Mhandisi wa kampuni ya Tanwat Njombe
Umesh Radd akisaini kitabu cha wageni kabla ya kupokea maelezo kuhusiana
na uanachama wa hiari na sekta binafsi kutoka kwa Meneja wa Shirika la
Hifadhi ya Jamii NSSF mkoa wa Njombe, Godwin Mwakalukwa baada ya
kutembelea banda la shirika hilo kwenye maonesho ya uzinduzi wa mkoa
katika uwanja wa.
Mkuu
wa Mkoa wa Njombe Kapteni Mstaafu Aseri Msangi (kushoto) akipokea
maelezo kuhusiana na uanachama wa hiari na sekta binafsi kutoka kwa
Meneja wa Shirika la Hifadhi ya Jamii NSSF mkoa wa Njombe,Godwin
Mwakalukwa (katika) baada ya kutembelea banda la shirika hilo kwenye
maonesho ya uzinduzi wa mkoa katika uwanja wa SabaSaba kulia ni Ofisa
Uhusiano wa shirika hilo Maife Kapinga.
0 comments:
Post a Comment