Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail
WACHEZAJI vijana wengi wamepita Manchester United miaka ya hivi karibuni, lakini wachache ambao wameweza kufanya makubwa kama kinda la ukwelii Adnan Januzaj.
Nyota huyo kinda mwenye umri wa miaka 18, raia wa UbelgijiThe Belgian, ameanza kwa mara ya kwanza katika mchezo wake wa kwanza wa ligi kuu kwa kufunga mabao mawili safi kabisa katika kipindi cha pili ugenini dhidi ya Sunderland na kumuokoa kocha wake David Moyes baada ya kupoteza mechi za EPL mara mbili mfululizo.
Mchezaji wa Sunderland, Craig Gardner aliwaweka mbele wenyeji katika dakika ya tano na kumchanganya kichwa kocha Moyes mwenye hamu ya kufanya vizuri.
Kikosi cha SUNDERLAND: Westwood, Celustka, Roberge, O’Shea, Colback, Cattermole, Gardner (Larsson 55), Ki (Wickham 74), Johnson (Ji 64), Giaccherini, Altidore
Kikosi cha MANCHESTER UNITED: De Gea, Rafael (Smalling 85), Vidic, Jones, Evra, Januzaj (Valencia 77), Cleverley, Carrick, Nani (Welbeck 77), Rooney, Van Persie






MATOKEO YA MECHI ZOTE LEO
England: Premier League
Finished
|
Manchester City
| 3-1 |
Everton
| (2-1) | ||||||
Finished
|
Cardiff
| 1-2 |
Newcastle United
| (0-2) | ||||||
Finished
|
Hull
| 0-0 |
Aston Villa
| (0-0) | ||||||
Finished
|
Fulham
| 1-0 |
Stoke
| (0-0) | ||||||
Finished
|
Liverpool
| 3-1 |
Crystal Palace
| (3-0) | ||||||
Finished
|
Sunderland
| 1-2 |
Manchester United
|
0 comments:
Post a Comment