!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!
SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO
UNAKARIBISHWA KATIKA JUKWAA LA WAZI LA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII MTOA MADA NI A. LUKANGA.
MADA:UCHIMBAJI WA MADINI YA YURANI KATIKA MUKTADHA WA SOKO HURIA: JE, KATIBA MPYA ITADHIBITI UPORAJI NA KULINDA MASILAHI YETU?
Lini: Jumatano Tarehe 23/10/2013
Muda:Saa 09:00 Alasiri – 11:00 Jioni
MAHALI: Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni
WOTE MNAKARIBISHWA
0 comments:
Post a Comment