Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznzania, akihutubia wakati
akifungua mkutano wa siku nne wa Kimaitaifa wa Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, uliofanyika kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha leo. Picha na OMR
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo, wakiwa ukumbini wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia kufungua mkutano huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia ngoma ya asili wakati akiondoka Ukumbi
wa AICC baada ya kufungua mkutano wa siku nne wa Kimaitaifa wa Afrika
kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, uliofanyika kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha leo. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Mwanasayansi wa masuala ya hali ya hewa, Dkt.
Arame Tall, wakati akiondoka baada ya kufungua mkutano wa siku nne wa
Kimaitaifa wa Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, uliofanyika kwenye
Ukumbi wa AICC jijini Arusha leo. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki
wa mkutano wa siku nne wa Kimaitaifa wa Afrika kuhusu Mabadiliko ya
Tabianchi, uliofanyika kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha leo. Picha na OMR
0 comments:
Post a Comment
Links to this post
Create a Link