Mahakama ya Rufaa Tanzania inatarajia kuanza kusikiliza jumla ya kesi mbalimbali 137 kwa kipindi cha muda wa siku kumi.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa
na Naibu Msajili wa mahakama hiyo Bi.Zahara Maruma kwa vyombo vya
habari ilieleza kuwa kesi hizo ni za madai 86 na jinai 51 na za madai
86.
Taarifa hiyo ilifafanua kuwa kesi
hizo zitaanzwa kusikilizwa kuanzia Oktoba 21 mpaka Novemba 1 mwaka huu
katika mahakama hiyo na Mahakama Kuu jijini Dar es laam .
0 comments:
Post a Comment