Bi
Magdalena Mtenga, Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Mazingira katika
Ofisi ya Makamu wa Rais akimkaribisha mgeni rasmi akifungua mafunzo ya
siku mbili ya wataalam wa mazingira Jijini Dar es Salaam kuhusu kemikali
zinazokaa ardhii kwa muda mrefu,wataalaam hao washiriki wanatoka katika
mkoa wa Dar es saala, Pwani na Zanzibar.
Mkurugenzi
wa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt Julius Ningu,
akifungua mafunzo ya siku mbili wataaalam kutoka mkoa wa Dar es Salaam,
Pwani na Morogoro, yanayohusu kemikali zinazokaa ardhini kwa muda mrefu,
aliyekaa kushoto ni muwezeshaji kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam,
Idara ya Uhandisi Kemikali na Madini, Profesa Jamidu Katima.


Washiriki
na wataalam katika mafunzo yanayohusu kemikali zinazokaa ardhini kwa
muda mrefu katika mafunzo jijini Dar, wakimsikiliza mgeni Rasmi wakati
wa ufunguzi wa mafunzo hayo.

Picha ya Pamoja ya washiriki wa mafunzo ya wataalam,kuhusu kemikali zinazokaa ardhini kwa muda mrefu,Jijini Dar es Salaam leo.
Picha zote na Evelyn Mkokoi wa Ofisi ya Makamu wa Rais
0 comments:
Post a Comment