Sunday, October 6, 2013

4Mashabiki wa timu za Simba na Yanga wakiingia kwenye viwanja vya Leaders jijini Dar es salaam leo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Nani Mtani Jembe inayoendeshwa na Kampuni ya bia ya TBL.5Mashabiki wa timu za Simba na Yanga wakiingia kwenye viwanja vya Leaders jijini Dar es salaam leo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Nani Mtani Jembe inayoendeshwa na Kampuni ya bia ya TBL.8Mashabiki wa Simba wakimwaga mauno wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo.9Mashabiki wa Simba wakimwaga mauno wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo.10Viongozi wa timu za Simba na Yanga wakiwa katika uzinduzi huo kutoka kulia ni Mohamed Binda Mjumbe kamati ya utendaji Yanga, Laurence Mwalusako Katibu Mkuu Yanga,Aden Rage Mwenyekiti Simba na Evodias Mtawala Katibu Mkuu Simba.11Hilda kutoka Excecutive Solution akiwajibika kazini.13Aden Rage Mwenyekiti wa Simba akiserebuka na mashabiki wa Simba na Yanga katika uzinduzi huo.14Meneja wa Bia ya Kilimanjaro George Kavishe kushoto na Aden Rage Mwenyekiti wa timu ya Simba wakiserebuka na mashabiki wa timu hiyo.15Burudani ikiendelea 16Je Huu ni Uzalendo kweli, huu ni Uzalendo, Nauliza Je Huu ni Uzalendo jamani.17Beneja wa Bia ya Kilimanjaro Bw. George Kavishe akizungumza na mashabiki wa Simba na Yanga katika uzinduzi huo leo kwenye viwanja vya Leaders.18Mwenyekiti wa Simba Aden Rage kulia na aliyeshika kamba kushoto na Mohamed Binda aliyeshika kamba kulia wakiongoza viongozi wenzao katika mchezo wa kuvuta kamba kama ishara ya uzinduzi wa kampeni hiyo katikati aliyeshika Noti za elfu kumi ni Meneja wa bia ya Kilimanjaro George Kavishe na mwingine ni Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Bi. Kushilla Thomas20Mwenyekiti wa Simba Aden Rage kulia na Mohamed Binda wakicheza mchezo wa Fussball wakati wa uzinduzi huo.21Mwenyekiti wa Simba Aden Rage akishangilia baada ya kumfunga  Mohamed Binda Mjumbe wa kamati ya utendaji Yanga katika uzinduzi wa kampeni ya Nani Mtani Jembe viwanja vya Leaders leo.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video