Msafara
wa magari kupitia barabara ya kyela Tukuyu wakitangaza uzinduzi wa
kampeni ya nani mtani jembe inayo shindanisha mashabiki wa Yanga na
Simba, kampeni hiyo inaendeshwa kupitia bia ya kilimanjaro premium
Lager.
Wasanii
wa kikundi cha Chacharito Group wakiwapagawisha mashabiki wa simba na
Yanga kupitia kampeni ya nani mtani jembe katika bar ya Free Park
iliyopo Uyole jiji la mMbeya. Mhudumu
wa kampeni ya nani mtani jembe akimwelekeza mteja namna ya kutuma namba
zilizopo kwenye kizibo cha bia ya kilimanjaro premium Lager ili kuipa
ushindi timu yake.
Shabiki
wa Yanga Bonifasi Mwamboneka akikabidhiwa jezi ya timu ya Yanga baada
ya kujishindia kulenga mpira kwenye goli katika kampeni ya nani matani
jembe kupitia bia ya kilimanjaro premium Lager iliyo fanyika katika bar
ya Free Park iliyopo Uyole jiji la Mbeya..
Shabiki
wa simba Zawadi Njengaje akifurahia jezi ya Simba baada ya kulenga goli
huku akiwa amefungwa kitamba katika kampeni ya nani mtani jembe kwa
mashabiki wa Simba na Yanga. Mashabiki
wa Simba na Yanga Bonifas na Zawadi wakifurahia ushindi wa jeza za timu
zao katika bar ya free park katika kampeni ya kilimanjaro premium
lager.
0 comments:
Post a Comment