Joh Makini ‘Mwamba wa Kaskazini’ akilishambulia jukwaa la Dar Live.
Wanenguaji wa Twanga wakionesha manjonjo.


Masai wa Kigoma akifanya makamuzi.
Twanga wakikamua stejini.
Mwanamuziki wa Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta International’ Rama Pentagon akikamua na bendi yake.


Mtaalam wa mazingaombwe, Profesa Calabash akiichoma moto fulana.
...Akiirudisha kama ilivyokuwa awali.


Watotio wakiingia kwenye ndege ya Dar Live.
(PICHA: RICHARD BUKOS NA MUSA MATEJA / GPL)
0 comments:
Post a Comment