Mwakilishi
wa Chuo cha Franscisco cha Calfonia Marekani Dk Roger Kushoto akiwa
na Mshauri wa wanafunzi Chuo kikuuu Mzumbe katika uzinduzi wa shahada ya
uzamili uliofanyika chuo kikuu mzumbe.
Mgeni
Rami kwenye uzinduzi wa Shahada ya uzamili ya afya utafiti na
ufuatiliaji Kaimu Mkuu wa Chuo cha Mzumbe Profesa Faustin Kamuzora Akiwa
katika uzinduzi huo .
Kaimu
Mkuu wa Chuo cha Mzumbe Profesa Faustin Kamuzora Akiwa katika uzinduzi
huo akiwa na mkurugenzi wa maendeleo kutoka wizara ya Afya Ndugu
Mashauri aliyeudhuria uzinduzi wa shahada ya uzamili ya Afya utafiti na
ufuatiliaji inayotolewa chuo kikuu mZumbe kwa kushirikiana na chuo cha
Francisco cha Calfonia cha Nchini Marekani.
Wanafunzi wa shahada ya uzamili afya utafiti na ufuatiliaji wakiwa katika uzinduzi huo.Hapa wakimsikiliza Mgeni rasmi
Mkuu wa Idara ya Shahada za uzamili kutoka chuo kikuu mzumbe Ndugu Amani Paulo akitoa neno fupi wakati wa uzinduzi huo
Makamu wa raisi wa Serikali ya Wanafunzi chuo Kikuu Mzumbe
Wadau kutoka chuo Kikuu cha Calfonia cha marekani Walioshiriki katika uzinduzi huo
Kaimu Mkuu wa Chuo cha Mzumbe Profesa Faustin Kamuzora Akitoa neno fupi.
Kaimu
Mkuu wa Chuo cha Mzumbe Profesa Faustin Kamuzora Akikata utepe
kuashiria uzinduzi wa darasa litakalotumika kwa ajili ya wanafunzi wa
shahada ya uzamili ya afya utafiti na ufuatiliaji
Na MATUKIO NA MICHAPO BLOG
0 comments:
Post a Comment