Bondia Adamu Ngange kushoto akipambana na Hussein Gobossy wakati wa mpambano wao wa masumbwi uliofanyika katika ukumbi wa Sonata uliopo chanika Dar es salaam jana Ngange alishinda kwa K,O ya raundi ya nne picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |

Adamu Ngange katikati akiwa na kocha wake |
Bondia Hussein Gobossy kushoto akipambana na Adamu Ngange wakati wa mpambano wao wa masumbwi uliofanyika katika ukumbi wa Sonata uliopo chanika Dar es salaam jana Ngange alishinda kwa K,O ya raundi ya nne picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Adamu Ngange akisubiri kupigana na mpinzani wake |
Bondia Adamu Ngange kulia akimwangalia bondia HUSSEIN GOBOSSY ambaye alikimbia uringoni kwa kipigo kikali ambapo mvua ya makonde ilikuwa ikimwelemea |
Bondia Adamu Ngange akinyosha mikono juu baada ya mpinzani wake kuingia mitini kwa kukimbia mchezo huo |
0 comments:
Post a Comment