Waziri
wa Afrika Mashariki Mh Samwel Sitta akipokelewa na Mwenyekiti wa Bodi
ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Bia ya Serengeti Mh jaji Mstaafu Mark Boman
mapema leo wakati alipotembelea Kiwanda cha Kutengeneza Bia cha
Serengeti Kilichopo Maeneo ya Chang’ombe Jijini Dar Es Salaam Kwaajili
ya Kujionea Shughuli zinazofanywa na Kiwanda hiko cha Bia.Kushoto Ni
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Bw Steve Gannon
Waziri
wa Afrika Mashariki Mh Samwel Sitta akisalimiana na Mmoja wa Viongozi
wa Juu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti mara baada ya kuwasili katika
kiwanda cha Bia cha Serengeti kwaajili ya Kujionea shughuli zinazofanywa
na kiwanda hiko ambacho ndio watengenezaji wa Kinywaji cha Bia aina ya
Serengeti lager.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Tanzania Mh Jaji
Mstaafu Mark Boman akitoa taarifa ya kampuni ya Bia ya Serengeti kwa
Waziri wa Afrika Mashariki Mh Samwel Sitta wakati alipotembelea kiwanda
cha Kutengenezea Bia za kampuni ya Bia ya Serengeti mapema leo
Waziri
wa Afrika Mashariki Mh Samwel Sitta akipewa taarifa juu ya maendeleo ya
Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi
ya Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) wakati alipotembelea Kiwanda hiko
mapema leo Kwaajili ya Kujionea shughuli nzima zinazofanywa na Kampuni
ya Bia ya Serengeti kupitia Kiwanda Chake kilichopo Maeneo ya Chang’ombe
Jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Mh Steve Gannon akitoa
maelezo kwa Waziri wa Afrika Mashariki Mh Samwel Sitta (Hayupo pichani)
wakati alipotembelea kiwanda cha Kuzalisha bia cha Serengeti mapema leo.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Mh Steve Gannon (Mwenye Suti
Nyeusi) akimuonyesha Waziri wa Afrika Mashariki Mh Samwel Sitta (Mwenye
Mvi) moja la Tangazo la kampeni inayoendelea hivi sasa ya Tupo Pamoja
katika Shangwe za Mafanikio kutoka kampuni ya Bia ya Serengeti Wakati
alipotembelea Kiwanda hiko Mapema leo.
Mkurugenzi
wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Mh Ephraimu Mafuru
akitoa maelezo kwa Waziri wa Afrika Mashariki Mh Samwel Sitta (Hayupo
pichani) aliyefika katika Kiwanda cha Kampuni ya Bia ya Serengeti
kilichopo Maeneo ya Chang’ombe Jijini Dar Es Salaam mapema leo kwaajili
ya kujionea shughuli zinazofanywa na Kiwanda hiko
Waziri
wa Afrika Mashariki Mh Samwel Sitta (Wa kwanza Kushoto) akitembezwa na
baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Wakati
alipotembelea kiwanda Cha Kampuni hiyo kilichopo Chang’ombe Jijini Dar
Es Salaama mapema leo
Waziri
wa Afrika Mashariki Mh Samwel Sitta (Katikati) akipewa ufafanuzi juu ya
mashine ya kusafisha Chupa zinazowekewa Kinywaji cha Bia ya Serengeti
Wakati alipotembelea Kiwanda cha Kampuni ya Bia ya Serengeti kilichopo
Chang’ombe Jijini Dar Mapema leo Asubuhi
Wafanyakazi
wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Wakipakia bia kwenye makasha tayari kwa
Kusafrishwa mara baada ya Hatua zote kumalizika
Waziri
wa Afrika Mashariki Mh Samwel Sitta Akifanya mahojiano na Baadhi ya
waandishi wa Vyombo mbalimbali vya habari Wakati alipotembelea Kiwanda
cha Kampuni ya Bia Cha Serengeti Kilichopo Chang’ombe Jijini Dar Es
Salaam mapema leo asubuhi.Picha na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog
0 comments:
Post a Comment