Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na wacheza ngoma wa kabila la Wasonje
kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Digodigo
wilayani Ngorongoro Septemba 24, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akikagua magadi kwenye ziwa Natron akiwa
katika ziara ya Wilaya ya Ngorngoro akiwa njiani kuelekea Mtowa Mbu
akitoka Loliondo Septemba 24, 2013. Wapili kulia ni Mbunge wa
Simanjiro, Christopher Ole Sendeka. (Picha na Ofisi ya waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia Mkutano wa hadhara katika kijijicha
Digodigo wilayani Ngorongoro Septemba 24, 2013. Kulia ni Mkewe Tunu
na kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Arusha Mulugo. (Picha na Ofisi ya waziri
Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisaliiana na Ambilikile Mwasapila maarufu kwa
jina la Babu wakati alipopita katika kijiji cha Samunge akilelekea
Digodigo kuhutubia mkutano wa hadhara Septemba 24, 2013. Alikuwa katika
ziara ya wilaya ya Ngorongoro . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment