Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akikagua akiba ya mahihindi wakati alipotembelea
Maghara ya Kitengo cha Usalama wa Chakula, (NFRA) mjini Arsha Septemba
25, 2013. Kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Kilimo, chakula na
Ushirika, Adam Malima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akikagua akiba ya mahihindi wakati alipotembelea
Maghara ya Kitengo cha Usalama wa Chakula, (NFRA) mjini Arsha Septemba
25, 2013. Kulia kwake ni Naibu Waziri wa Kilimo, chakula na
Ushirika, Adam Malima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (kushoto) wakitazama ngoma kutoka
katika kikundi cha sanaa cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) baada ya
kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga Septemba 25, 2013. Mheshimiwa
Pinda anatarajiwa kufungua Kongamano la Uwekezaji la Kanda ya Kaskazini
Mjini Tanga Septemba 26, 2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment