Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisikiliza maelezo kuhusu picha ya watawala wa
asili wa China kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Huwawei
Technologies nchini, Bw. Bruce Zhanga na Mkurugenzi Mkuu wa kambuni
hiyo, Bw. Kenneth Luo (kulia) katika mazungumzo yaliyofanyika Ofisini
kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Septemba 17, 2013. (picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Balozi wa China nchini, Lu Youqing kabla
ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaaam
Septemba 17, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa China nchini, Bw. Lu
Youqing (kushoto kwake) na ujumbe wake , Ofisini kwake jijini Dar es
salaam Septemba 17, 2013. Kulia kwake ni Balozi wa Tanzania nchini
China, Abdulrahman Shimbo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa China Nchini, Bw. Lu
Youqing, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Septemba 17, 2013. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment