Waziri
wa Mambo ya Ndani Dkt Emmanuel Nchimbi, akipata maelezo kwenye banda la
Wakala wa Barabara (TANROADS) kutoka kwa Mkuu wa Kitendo cha Usalama na
Mazingira,Zafarani A Madai.Dkt Nchimbi alikuwa akikagua mabanda
mbalimbali kabla ya kuzindua maadhimisho ya Wiki ya Usalama Barabarani
yanayofanyika Jijini Mwanza Kitaifa.
Mkuu
wa Kitengo cha Usalama na Mazingira wa TANROADS,Zafarani A Madai
akimwonyesha Waziri wa Mambo ya Ndani Dkt Emmanuel Nchimbi,jinsi
madereva wanavyopaswa kutumia barabara ili kuepusha ajali kwa kutumia
michoro mbalimbali
Mhandisi wa TANROADS Jonas
Matete, akiwapa maelekezo ya matumizi ya barabara vijana wawili ambao
walitembelea banda la wakala huyo wa barabara ili kufahamu mambo
mbalimbali wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Usalama Barabarani
yanayofanyika jijini Mwanza.
0 comments:
Post a Comment