Tuesday, September 10, 2013

IMG_0472 
Viongozi Wakuu wa msafara Dk. Ngosa Howard Mpamba kushoto na Bw. Simon Kang’omba kulia wakiwa ofisini kwa mwenyeji wao Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Bashiru Mrindoko muda mfupi kabla ya kuanza kikao. IMG_0493 
Bi. Sheila Nakazwe kutoka Zambia wakati wa kujitambulisha muda mfupi kabla ya kuanza kwa mafunzo. IMG_0495 
Bw. Simon Kang’omba, kutoka Zambia akijitambulisha kwa wenyeji wake wakati wa utambulisho, muda mfupi kabla ya kuanza kwa mafunzo. IMG_0496 
Katibu Mkuu Msaidizi, Bashiru Mrindoko akimsikiliza Kiongozi wa msafara wa wataalamu wa maji kutoka nchini Zambia Dk. Ngosa Haward Mpamba waliokuja kujifunza mbinu bora za usimamizi wa rasilimali za maji nchini. IMG_0506 
Dk. Ngoza Haward Mpamba, kionzi wa msafara wa wataalamu kutoka nchini Zambia, akitaka kupewa ufafanuzi juu namna Tanzania inavyokabiliana na changamoto za migogoro kati ya watumia maji wadogo na wakubwa. IMG_0528 
Katibu mkuu Msaidizi Wizara ya Maji, Bashiru Mrindoko, akitoa maelezo juu ya changamoto katika sekta ya maji kwa wageni kutoka nchini Zambia. IMG_0540 
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Bashiru Mrindoko pamoja na jopo la wataalamu wa Rasilimali za Maji wa Wizara ya Maji wakiwa kwenye picha ya pamoja na wataalamu wa maji kutoka Zambia waliokuja kujifunza, Ubungo Maji Makao Makuu ya Wizara ya Maji
Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini. Wizara ya maji.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video