Tuesday, September 10, 2013

Na 1-Elimu 
Naibu Waziri wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philipo Mulugo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam kuhusu mtihani wa kumaliza Elimu ya Msingi Tanzania Bara, ambao unaotarajiwa kufanyika Septemba 11 na 12 mwaka huu. Kushoto kwake ni Naibu Katibu Mtendaji Baraza la Mitihani Tanzania Dkt. Charles Msonde. Na.2-Elimu 
Naibu Waziri wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philipo Mulugo akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam kuhusu mtihani wa kumaliza Elimu ya Msingi Tanzania Bara, ambao unaotarajiwa kufanyika Septemba 11 na 12 mwaka huu. Kulia kwake ni Kamishina wa Elimu Tanzania Prof. Eustela Bhalalusesa, kushoto kwake ni Naibu Katibu Mtendaji Baraza la Mitihani Tanzania Dkt. Charles Msonde. Na.3-Elimu 
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika kutekeleza majukumu yao katika mkutano na Naibu Waziri wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philipo Mulugo (hayupo kwenye picha) jijini Dar es Salaam alipokuwa akizungumzia kuhusu mtihani wa taifa wa darasa la saba, unaotarajiwa kufanyika Septemba 11 na 12 mwaka huu.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video