Baadhi ya wajumbe wa Baraza Kuu ya UVCCM ambao wamechanganyika na abiria wengine, wakiwa kwenye gati baada ya kushuka katika boti jioni hii
Baadhi ya wajumbe wa Baraza Kuu la UVCCM kutoa Tanzania Bara wakitoka bandarini baada ya kuwasili mjini Zanzibar kwa ajili ya kikao cha Baraza hilo kitakachofanyika kesho, Afisi Kuu ya CCM, Kisiwandui
Wajumbe wakiwa katika mabasi
Kikundi cga Bras Band cha UVCCM Zanzibar kikijifua kwa mazoezi kwa ajili ya mkutano wa kesho.Imetayarishwa na theNkoromo Blog
0 comments:
Post a Comment