Makamu
wa Rais wa Shirikisho la mpira wa kikapu nchini-TBF Ndg. Phares Magesa
akiwa na baadhi ya wachezaji nyota (vijana) wa timu ya Taifa ya Kikapu
ya Tanzania ambao wanatarajiwa kwenda Marekani mwezi wa kumi katikati
kwa ajili ya kambi ya Mafunzo katika Chuo Kikuu Cha Post-Connecticut,
mafunzo hayo yataendeshwa na Kocha Albert Sokaitis akisaidiwa na Kocha
Sconniers. Tuwasaidie VIJANA wetu kwa hali na mali ili washiriki vizuri
Mafunzo hayo.
Home
»
»Unlabelled
» VIJANA 14 Nyota wa kikapu wajiandaa kwenda USA
Saturday, September 28, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment