Naibu
Waziri Wizara ya Katiba na Sheria Angellah Kairuki akizindua Kijitabu
cha “Mwongozo wa Utawala Bora” uliofanyika makao makuu ya Tume ya Haki
za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) mtaa wa Luthuli leo jijini Dar es
Salaam.
Naibu
Waziri Wizara ya Katiba na Sheria Angellah Kairuki akionesha kijitabu
cha “Mwongozo wa Utawala Bora” alichokizindua leo makao makuu ya Tume ya
Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) mtaa wa Luthuli jijini Dar es
Salaam.
Naibu
Waziri Wizara ya Katiba na Sheria Angellah Kairuki akiongea na
washiriki waliohudhuria uzinduzi wa kijitabu cha “Mwongozo wa Utawala
Bora” leo katika ofisi za Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora
(THBUB) zilizopo mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyeki
wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Amiri Manento (Jaji
Kiongozi Msaafu). Mwenyeki
wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Amiri Manento (Jaji
Kiongozi Msaafu) akimkaribisha mgeni rasmi Naibu Waziri Wizara ya
Katiba na Sheria Angellah Kairuki na wageni waalikwa kwenye hafla ya
uzinduzi wa Kijitabu cha “Mwongozo wa Utawala Bora” uliofanyika makao
makuu ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) mtaa wa
Luthuli leo jijini Dar es Salaam. (Katikati) ni Naibu Waziri Wizara ya
Katiba na Sheria Angellah Kairuki, Wa kwanza kushoto ni Makamu Mwenyeki
wa THBUB Mahfoudha Alley Hamid. Katibu
Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Mary
Massay akiwasisitiza washiriki wa hafla ya uzinduzi wa Kijitabu cha
“Mwongozo wa Utawala Bora” uliofanyika katika ofisi za THBUB zilizopo
mtaa wa Luthuli leo jijini Dar es Salaam. Wakwanza ni ni Naibu Waziri
Wizara ya Katiba na Sheria Angellah Kairuki (katikati) ni Mwenyeki wa
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Amiri Manento (Jaji
Kiongozi Msaafu).
Picha
ya pamoja ya Naibu Waziri Wizara ya Katiba na Sheria Angellah Kairuki
baada ya kuzindua Kijitabu cha “Mwongozo wa Utawala Bora” uliofanyika
makao makuu ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) mtaa wa
Luthuli leo jijini Dar es Salaam.
(Picha zote na Eleuteri Mangi- Maelezo)
0 comments:
Post a Comment