Baadhi
ya wajumbe wakifuatilia uzinduzi wa chapisho la mgawanyo wa idadi ya
watu na jinsi kwenye sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 uliofanyika
leo katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere ,jijini Dares Salaam
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi (katikati)
akizindua chapisho la mgawanyo wa idadi ya watu na jinsi kwenye sensa ya
watu na makazi ya mwaka 2012 uliofanyika leo katika ukumbi wa Mwalimu
Nyerere ,jijini Dares Salaam.
Mwakilishi
wa Ofisi ya Makamu wa Rais wa Zanzibar, Said Shaaban Said akipokea
chapisho la chapisho la mgawanyo wa idadi ya watu na jinsi kwenye sensa
ya watu na makazi ya mwaka 2012 uliofanyika leo katika ukumbi wa
Mwalimu Nyerere ,jijini Dares Salaam.
Naibu
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akipokea chapisho la chapisho la
mgawanyo wa idadi ya watu na jinsi kwenye sensa ya watu na makazi ya
mwaka 2012 uliofanyika leo katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere ,jijini
Dares Salaam.
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi(katikati) akiwa
katika picha ya pamoja leo wakati wa uzinduzi wa chapisho la mgawanyo wa
idadi ya watu na jinsi kwenye sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012
uliofanyika leo katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere ,jijini Dares Salaam.
0 comments:
Post a Comment