Thursday, September 19, 2013

Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mh. Chiku Galawa akimkaribisha Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Mh. Jaji Aloysius Mujulizi ofisini kwake mkoani Tanga. RC akiangalia kipeperushi 
Mkuu wa mkoa wa Tanga Mh. Galawa akiangalia Kipeperushi cha Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania kinachoelezea Mapitio ya Mfumo wa Utatuzi wa Migogoro Tanzania. RC Tanga akisisitiza 
RAS na Tume  
Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga Bw. Benedict Ole Kuyan akizungumza wakati Katibu Mtendaji  wa Tume Bi. Winfrida Korosso alipomtembelea ofisini kwake mkoani Tanga wakati Tume ikiwa katika Kikao chake cha Baraza la Wafanyakazi mkoani humo, Kulia ni Katibu Msaidizi wa Tume Bi. Agnes Mgeyekwa (Picha na Munir Shemweta- LRCT)

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video