Thursday, September 26, 2013

Timu ya TUMESHERIA Wanaume ambayo imeishinda Wizara ya Mawasiliano katika mchezo wa Kamba ikiwa katika picha ya pamoja na timu ya Wanawake Tume ikivuta 
Kikosi cha TUMESHERIA kikiwavuta wenzao wa Wizara ya Mawasiliano Wanaume wakiingia 
Kikosi cha Timu ya Kamba Wanaume cha TUMESHERIA SPORTS kikiingia uwanjani kuchuana na Wizara ya Mawasiliano katika michezo ya SHIMIWI inayoendelea mkoani Dodoma. wanawake wakivutwa 
Timu ya Kamba ya Wanawake ikuvutwa na RAS Arusha katika Mashindano ya SHIMIWI yanayoendelea  Dodoma. (Picha zote na Munir Shemweta –LRCT)

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video