Mkurugenzi
wa Uhussiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tannzania, Steve Kilindo
(kulia) akimkabidhi moja kati ya fulana 1000 zenye thamani ya sh.
milioni 9 , Kamanda wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani, Mohamed
Mpinga, kwa ajili ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani, Dar es
Salaam.
0 comments:
Post a Comment