Gari
la Maliasili likiwa limebeba Meno ya Tembo, wakati wa kujiandaa na
Maandamano kuelekea Mlimani city kwa ajili ya maadhimisho hayo
Msanii
wa Muziki wa Kitanzania Mrisho Mpoto akianza kuongoza maandamano kutoka
Chuo kikuu cha Dar es salaam Kuelekea Ukumbi wa Mlimani City leo.
Maandamano ya Siku ya Tembo yakiwa yanaendelea kuelekea ukumbi wa Mlimani City kwa ajili ya Kongamano hilo
Wasanii wa Mrisho Mpoto wakiwa wamebeba chatu katika maadhimisho ya Siku ya Tembo Kitaifa leo
Mkurugenzi
wa wanyamapori Wizara ya maliasili na utalii Prof. Alexander Songorwa
akisoma Hotuba kwa niaba ya Waziri wa Maliasili na utalii.
Wadau
mbalimbali wa utalii na kupinga mauaji dhidi ya Tembo wakiwa
wanafuatilia kwa umakini maadhimisho ya Siku ya Tembo kitaifa.
Mrisho Mpoto akiwa anatumbuiza katika Maadhimisho hayo ya siku ya Tembo
Mmoja ya waratibu wa Shuguli za Siku ya Tembo kitaifa Issa Isihaka kushoto akifuatilia kwa umakini siku ya Tembo kitaifa
Picha ya Pamoja ya Viongozi Mbalimbali wa Serikali na wadau
0 comments:
Post a Comment