Mkuu
wa Mkoa wa Manyara Elaston Mbwilo akifungua Kikao Maalum cha Kamati ya
Ushauri wa Maendeleo Manyara kilichoitishwa kujadili masuala muhimu ya
uhifadhi katika Hifadhi za Tarangire na Ziwa Manyara. Kulia ni
Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi na kushoto ni Katibu Tawala wa
Mkoa wa Manyara Misaeli Musa. Mkurugenzi
Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi akiongea katika kikao hicho. Kulia ni
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary
Nagu. Waheshimiwa Wabunge Jitu Soni wa Babati Vijijini (kushoto) na Mustafa Akunaay (Mbulu) wakiwa kikaoni.
Wajumbe wa kikao wakifuatilia mada kutoka kwa wawasilishaji kutoka TANAPA Meneja Ujirani Mwema wa TANAPA Ahmed Mbugi akiongea kikaoni Muikolojia
Yustina Kiwango kutoka Hifadhi ya Ziwa Manyara akiwasilisha mada kuhusu
changamoto zinazotishia kutoweka kwa Ziwa Manyara.
Wahifadhi kutoka TANAPA kutoka kushoto Ole Meikasi, Pendaeli Shafuri na Theodora Aloyce
0 comments:
Post a Comment