Kikosi
kazi cha Skylight Band kikiongozwa na Joniko Flower wakitoa burudani
kwenye uwanja wao wa nyumbani Thai Village jijini Dar Ijumaa iliyopita
huku Rappa Sony Masamba akionyesha umahiri wake wa kusakata Sebene.
Jumapili hii watakuwa kwenye Fiesta After Party kwenye Hoteli ya Gold
Crest jijini Mwanza kama kipeperushi kinavyosema hapo juu.
Ila leo kama kawaida tukutane Thai Village Masaki jijini Dar.
Aneth
Kushaba AK 47 na Digna wakitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band
Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Sam Mapenzi akipagawisha akiwachizisha baadhi ya mashabiki wa Skylight Band.
Hapana Chezea Sam Mapenzi a.k.a asali ya warembo….hebu cheki mrembo anavyopagawishwa na Sam Mapenzi wa Skylight Band.
Mduara ulichezeka na watu walijiachia kwa raha zao.
Aneth Kushaba AK47 naye akifanya yake jukwaani.
Divas
wa Skylight Band wakitoa burudani…..Aneth Kushaba AK 47 akishambulia
jukwaa na wenzake Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki
jijini Dar leo pia watakuwepo.
Tumetokelezea balaaaa…..Bata mwanzo mwisho na Skylight Band.
Mdau
mkubwa wa Skylight Band Alois Ngonyani akishow love na swahiba wake
kwenye kiota cha Thai Village Ijumaa iliyopita tukutane leo jioni pale
pale.
Sam Mapenzi akiwa ametokelezea na mashabiki wake.
Mpiga Solo wa Skylight Band Allen Kisso akishow love na mai waifu wake ndani ya Thai Village….Kazi na dawa ndio manake….!!
Mchezaji
mpira mkongwe nchini ambaye pia ni shabiki mkubwa wa Skylight Band Iddi
Baka akipata Ukodak na Sam Mapenzi wa Skylight Band.
Digna
a.k.a Rihanna wa Bongo anakwambia tukutane leo usiku pale Thai Village
halafu Jumapili ndani ya Gold Crest Hotel Rock City Fiesta after party.
0 comments:
Post a Comment