Saturday, September 7, 2013


HARAKATI ZA MAISHA NI KUFANYA KAZIMama na mtoto wakiwa kazini wakibeba tofali ili kujipatia kipato waweze kuendesha maisha yao,lakini mtoto  huyo sheria ya ,inambana kufanya kazi zilizo juu ya uwezo wake kama kubeba tofali   ambazo zinamzidi uzito, hali inayoonesha kuwa ni kuwatumikisha watoto walio chini ya miaka kumi na nane kama alivyokutwa na akibeba tofali akiwa na mama yake kwa ajili ya kupanga tanuli ili yaweze kuchomwa tayari kwa shughuli za ujenzi wa makazi shughuli  ambayo imeshika kasi mjini mpanda shughuli za ufyatuaji tofali zimepamba moto maeneo ya shanwe mjini Mpanda. 
AJRA KWA WATOTOAjira kwa kwa watoto katika mji wa Mpanda bado ni changamoto kubwa ambayo serikali na watu waliopewa mamlaka za usimamizi au uangalizi wa kuhakikisha haki ya motto inalindwa kuliona hilo na kuchukua hatua stahiki vinginevyo itakuwa haina maana yeyote kupiga kelele bila matokeo chanya utekelezaji way ale maagizo yanatolwea kila siku na mamlaka hasa serikali za nchi na matamko ya kimataifa ya kukataza ajilra kwa watoto.kamaanavyonekana motto akibeba tofali mgogoni kupeleka eneo lillopowekwa tanuru kwa ajili ya kuyachoma matofali hayo kwa ajili ya kuuzwa kwa wajenzi mjini Mpanda 
KIWANDA CHA MATOFALI MABICHIUkuaji wa mji nao unaambatana  na uharibifu wa mazingira kutokana na shughuli za bianadamu kujitafutia riziki,uharibifu huo umeshamili maeneo mengi ukiambatana uchoaji moto maeneo,uchimbaji wa mchanga naudongo kwa ajili ufyatuaji tofali na shughuli za kilimo kama maeneohayo yanavyonekana kuharibiwa na kuashiria janga hatua za makusudi inabidi kuchukuliwa ili kuokoa maeneo hayo iki ni pamoja kuchukua hatua ya kutoa elimu ya mazingira kuhusu athari zitokanazo na uharibifu huo wa mazingira kwa kizazi kilichopo na kijacho
Picha zote na Kibada Kibada.
Na Kibada Kibada.-Katavi
Shughuli za Binadamu  katika kujitafutia riziki ili mkono uende kinywa na maisha yaweze kuendelea  ni jambo ambalo haliwezi kukwepeka kwa maisha ya kila siku hususani mwananchi wa kawaida anayeishi kwa kutegemea kudra zake mungu .
Hali hiyo inaonekana zaidi kushika kasi kwa wakazi wengi wa hapa nchini kwa kujishughuli na shughuli za ujenzi na utafutaji hali inayoendana na uharibifu wa mazingira kwa kukati miti kila siku ya kuchomea tofali kwa ajili ya shughuli za ujenzi ili kupata makazi na shughuli za kujitafutia mahitaji ya kila siku ili familai ziweze kuishi.
Mbali na ujenzi shughuli za kilimo na nyinenezo muhimu kwa binadamu zinachangia kwa njia moja au nnyingine kuharibu mazingira katika maeneo mengi nchini.
Hivi karibu mwandishi wetu alitembelea eneo la kata ya Shanwe Halmashauri ya Mji wa Mpanda nje kidogo ya mji na kushuhudia  jinsi uharibifu wa mazingira ulivyopamba moto na huku mamlaka husika au vyombo vilivyopewa jukumu vikiona bila kuchukua tahadhari yeyote ya kuweza kusaidia hali hiyo isiendelee ya uharibifu wa mazingira haichukuliwi.
Mmoja ya wanahakati wa masuala ya mazingira  Mkoani Katavi Ignasi Kikwala anashauri elimu itolewe kwa jamii kuhusiana na athari za huaribifu huo huku wakielimishwa mbinu mbadala za kuweza kutumia ili kuweza kumuda maisha bila kuwepo uharibifu huo.
Kwa upande wao wananchi wao wanaeleza kuwa hawana tatizo iwapo watapatiwa mbinu mbadala za kujiepusha na uharibifu huo na wao bila maisha yao kubugudhia wao wanchotaka kuendelea kuona familia zao zinaneemeka kama kawa ida kwa kuwa nao hawapendi kuharibu mazingira isipokuwa na hli halisi ya maisha ndiyo inayowalazimu kuharibu hawana  ujanja kwa hilo lazima waharibu ili kuweza kumudu maisha.hiyo ni changamoto kubwa kweli walieleza wananchi hao.wakazi wa mji wa Mpanda Kata ya Shanwe.
<

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video