Thursday, September 5, 2013

1Mbunifu wa mitindo nchini Asia Idarous akizungumza wakati wa uzinduzi wa shindano jipya la wanamitindo linalojulikana kwa jina la Tanzania Top Model uliofanyika jana kwenye mgahawa wa City Sports Lounge jijini Dar es salaam  na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa mitindo ya mavazi, Kulia ni Jackson Kalikumtima Mkurugenzi  wa Kamati ya Tanzania Top Model, na kulia ni Bw. Khamsin.2Mkurugenzi wa Kamati ya Tanzania TOP Model Jackson Kalikumtima akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika jana kwenye mgahawa wa City Sports Lounge.4Wanamitindo mbalimbali wakipita mbele ya wageni waalikwa wakatik wa uzinduzi huo5678Wanamitindo hao wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi huo9Wadau wakipata picha10Wadau mbalimbali wakiwa katika uzinduzi huo11MC Duble A akifafanua jambo kabla ya Asia Idarous kuzindua shindano hilo12Baadhi ya wanakamati wakijitambulisha13Wadau wakifuatilia14Wadau wakifuatilia matukio katika uzinduzi huo

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video