Monday, September 16, 2013

Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail
MSHAMBULIAJI wa Mabingwa watetezi wa ligi kuu soka nchini England, Mashetani Wekundu, Manchester United, Robin van Persie (RVP) anataka uongeza mkataba wake licha ya kubakiwa na miaka mitatu katika mkataba wake wa sasa.
Van Persie alifurahia maisha ya Old Trafford msimu uliopita baada ya kutwaa kiatu cha dhahabu kwa mara ya pili na kuwasaidia Man United kutwaa ubingwa uliokuwa unatetewa na Manchester City.
Hali ilionesha fainda ya Mholanzi huyo kuihama klabu yake ya Arsernal na kujiunga na wapinzani wakubwa wa klabu hiyo yenye makazi yake kaskazini mwa London, Manchester United.
Flying Dutchman: Van Persie (second right) is mobbed after scoring against Crystal Palace on Saturday 
Mholanzi maarufu: Van Persie (wapili kulia) akipongezwa na wenzake baada ya kufunga katika mchezo dhidi ya Crystal Palace jumamosi
Akizungumza na mshindi wa kombe la ulaya wa zamani Paddy Crerand katika mahojiano maalumu ndani ya MUTV, Van Persie ameweka wazi kywa anataka kukaa zaidi Man United.
“Nimebakiza miaka mitatu katika mkataba wangu na nataka kukaa zaidi” nyota huyo mwenye umri wa miaka 30 alisema. “Najua na nawaona watu walionizunguka, kufanya maamuzi ambayo watu wataangalia nyuma na kusema “Ni maamuzi mazuri?”. Sihitaji kitu hicho.
“Nahitaji kucheza kwa kiwango cha juu  kwa muda mrefu kadri itakavyowezekana”
Kushinda kombe na United msimu uliopita ndio kichocheo kikubwa kwa Van Persie kupenda kukaa klabuni hapo kwani hajawahi kushinda na Arsenal tangu atwae FA Cup mnamo mwaka 2005.
Champions: Van Persie celebrates winning the Premier League title back in May 
Mabingwa: Van Persie akishangilia ubingwa mwezi mei mwaka huu
Moving on: Van Persie joined United last summer from Arsenal 
Kazi inaendelea: Van Persie alijiunga na United msimu uliopita akitokea Arsenal

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video