Sunday, September 8, 2013

Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail
MSHAMBULIAJI wa Timu ya Taifa ya England maarufu kwa jina la `simba watatu` na klabu ya Liverpool, Daniel Sturridge atakaa nje ya dimba katika kipute cha kuwania kufuzu fainali za kombe la dunia keshokutwa jumanne dhidi ya  Ukraine mjini Kiev.
Sturridge alikosa mechi ya ijumaa usiku dhidi ya Moldova katika dimba la Wembley baada ya kupata maumivu ya mguu wake katika mechi kali ya ligi kuu soka nchini England baina ya Liverpool dhidi ya Manchester United mwishoni mwa wiki iliyopita.
Ilitumainiwa kuwa mshambuliaji huyo angepona mapema na kurudi uwanjani leo jioni, lakini taarifa za madaktaria zinasema hawezi hata kidogo.
Blow: Daniel Sturridge has been ruled out of England's qualifier against UkraineJanga: Daniel Sturridge atakaa nje ya kikosi cha England dhidi ya Ukraine kuwania kufuzu fainali za kombe la dunia mwakani
Japokuwa chama cha soka cha England, FA hakijathibitisha kama jambo hilo litatokea.
‘ FA inaweza kuthibitisha kuwa Daniel Sturridge hatarudi uwanjani katika kikosi cha England kuwania kufuzu fainali za kombe la dunia dhidi ya Ukraine jumanne,” Ilisema taarifa ya FA.
‘Timu ya madaktari wa England imekuwa ikiwasiliana na matabibu wa Liverpool tangu arejea huko alhamisi, afya yake inaimarika, lakini haijulikani kama Sturridge  atakuwa sawa katika mechi Kiev jumanne jioni.’
Striker crisis: Danny Welbeck will not play in Ukraine after picking up a yellow card against MoldovaBalaa safu ya ushambuliaji: Danny Welbeck hatacheza mechi dhidi ya Ukraine baada ya kuoneshwa kadi ya njano wakati wa mechi na Moldova
Incensed: Roy Hodgson reacted furiously to the decision to book WelbeckAcha hizo wee jamaa!: Roy Hodgson alichukizwa na kumlalamikia mwamuzi baada ya kutoa kadi ya njano kwa Welbeck

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video