Sunday, September 1, 2013


Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail.com
MSHAMBULIAJI wa Mabingwa watetezi wa Ligi kuu soka nchini, Manchester United, Wayne Rooney amezua hofu klabuni hapo baada ya kupata majeruhi ya kuumia kichwa na kuwa hatarini kukosa mechi ya leo ugenini dhidi ya majogoo wa jiji, Liverpool katika dimba la Anfield.
Rooney aliyerudisha akili yake United baada ya kushindwa kujiunga na Chelsea aliumia kichwani baada ya kugongana na nahodha wa United, Nemanja Vidic wakati wa mazoezi katika dimba lao la  Carrington jana.
Rooeney mwenye umri wa miaka 27 kwa sasa  aliondoka uwanjani hapo akiwa amefungwa bandeji ili kuziba eneo liliopata majeruhi.
Committed: Waynre Rooney (right) challenges Ashley Cole after coming on as substitute in Monday's 0-0 draw with ChelseaAlijituma: Waynre Rooney (kulia) akimdhibiti Ashley Cole  baada ya kuingia akitokea benchi katika mchezo wa jamatatu ya wiki hii dhidi ya Chelsea
Rooney yupo hatarini kuukosa mchezo wa leo, na hatima yake itaamuliwa na madaktari wa timu hiyo kama atakuwa amepata unafuu ili kocha David Moyes amtumie.
Nyota huyo alicheza soka la hali ya juu wakati klabu yake ilipopambana na Chelsea katika mchezo wa ligi kuu soka nchini England na kuishia kwa suluhu.
Selection problem: David Moyes' team selection has been hit by Rooney's head injuryTatizo la kuchagua timu sasa: David Moyes amekumbwa na tatizo la kuchagua timu leo baada ya Rooney kuwa majeruhi

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video