Watanzania wanoishi Nchini Uholanzi wakimsikiliza Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza nao katika ukumbi wa Hilton Hotel nchini humo ambapo Rais alifikia katika Hotel hiyo na ujumbe wake[Picha na Ramadha Othman,Uholanzi.]
Balozi wa Tanzania Nchini Uholanzi Dr. Diodorus B.Kamala,akimkaribisha Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,kuzungumza na Watanzania wanoishi Nchini Uholanzi,akiwa katika ziara nchini humo katika ukumbi wa Hilton Hotel,(kulia) Waziri wa Mawasiliano Miundombinu Rashid Seif Suleiman,na katikati Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mahadhi Juma Maalim. .[Picha na Ramadha Othman,Uholanzi.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akipokea risala ya Watanzaania wanaoishi Nje ya Nchi,kutoka kwa Mwenyekiti wa Umoja huo Bulemo Francis Kweba, alipoku akizungumza nao katika Hoteli ya Hilton Mjini The Hague, .[Picha na Ramadha Othman,Uholanzi.]
Watanzania wanoishi Nchini Uholanzi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza nao katika ukumbi wa Hilton Hotel nchini humo ambapo Rais alifikia katika Hotel hiyo na ujumbe wake.[Picha na Ramadha Othman,Uholanzi.]
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na Watanzania wanaoishi Nchini Uholanzi,akiwa katika ziara nchini humo akiwa na ujumbe aliofuatana nao katika ukumbi wa Hilton Hotel Mjini The Hague,(kulia) Balozi wa Tanzania Nchini Uholanzi Dr. Diodorus B.Kamala,na Mwenyekiti wa Watanzania wanaoishi Uholanzi Bulemo Francis Kweba.[Picha na Ramadha Othman,Uholanzi.]

Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa (kushoto) na Waziri wa Ardhi, Maji, Makaazi na Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban,wakiwa katika mazungumzo ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Watanzania wanaishi Nchini Uholanzi,akiwa katika ziara ya kiserikali katika ukumbi wa Hilton Hotel Mjini The Hague. [Picha na Ramadha Othman,Uholanzi.]
0 comments:
Post a Comment