Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena
L.Tax,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi kumuaga Rais, baada
ya kuteuliwa kushika wadhifa wake huo,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na Katibu Mtendaji wa SADC
Dkt.Stergomena L.Tax,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi baada ya mazungumzo yao.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Dkt.Stergomena L.Tax,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi baada ya mazungumzo yao.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
0 comments:
Post a Comment