Rais
Msataafu Mh. Benjamin Mkapa (alienyanyua mkono mbele) leo nyumbani
kwake jijini Dar es Salaam akiongea na wageni wake leo nyumbani kwake
jijini Dar es Salaam walipokwenda kumtembelea.. (Pichani mbele mwenye
Kaunda suti ya cream) ni Mkuu wa Chuo cha Diplomasia Balozi Mohammed
Omari Maundi. Rais
Mstaafu Mh. Benjamin Mkapa (kushoto) akimsikiliza Mkuu wa Chuo cha
Diplomasia jijini Dar es Salaam Balozi Mohammed Omari Mahundi (kulia)
leo alipokwenda kumtembelea nyumbani kwake.
Rais
Mstaafu Mh. Benjamin Mkapa (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara
ya Habari (MAELEZO) Assah Mwambene (kulia), leo jijini Dar es Salam
walipokwenda kumtembelea.(pichani katikati) Ni Mkuu wa chuo cha
Diplomasia nchini Balozi Mohammed Omari Maundi.
Rais
Mstaafu Mh. Benjamin Mkapa Benjamin Mkapa (kushoto) akiongea na Mkuu wa
Chuo cha Diplomasia nchini Balozi Mohammed Omari Maundi leo jijini Dar
es Salaam.
Picha ya pamoja kati ya Rais Mstaafu pamoja na wageni waliokwenda kumtembelea nyumbani kwake leo.
Picha zote na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.
0 comments:
Post a Comment