Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo kwenye ofisi
za ubalozi wa Kenya wa kudumu katika Umoja wa Mataifa jijini New York
jana kufuatia shambulizi la kigaidi katika sehemu ya biashara ya West
Gate jijini Nairobi Kenya hivi karibuni.Kulia ni Naibu Balozi wa Kenya
wa kudumu Umoja wa Mataifa(Deputy Permanent Representative) Mhe.Koki
Muli Grignon. Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwafariji wafanyakzi wa Ubalozi wa kudumu
wa Kenya katika Umoja wa Kimataifa muda mfupi baada kusaini kitabu cha
maombolezo katika ofisi za ubalozi huo jijini New York, Marekani leo
mchana kufuatia shambulizi la kigaidi jijini Nairobi ambapo watu kadhaa
walipoteza maisha(photos by Freddy Maro)
Home
»
»Unlabelled
» Rais Kikwete asaini Kitabu cha maombolezo Ubalozi wa Kenya New York
Friday, September 27, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment