Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia kikao cha 68 cha Baraza kuu la Umoja wa Mataifa leo jijini New York Marekani.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban- Ki- Moon ofisini kwake.

Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
Ban- Ki- Moon ofisini kwake muda mfupi kabla ya kuhutubia kikao cha 68
cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jijini New York Marekani leo
mchana(picha na Freddy Maro)
0 comments:
Post a Comment