Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya Watanzania waishio
katika mji wa Vallejo jimbo la California nchini Marekani leo wakati
Rais alipotembelea mji huo wa kibiashara kwa mwaliko wa meya wa mji huo
Mstahiki Osby Davis.
Meya
wa Mji wa Vallejo lililopo katika jimbo la California nchini Marekani
Mstahiki Osby Davis akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika
ukumbi wa mji huo leo tayari kwa sherehe za kumbukumbu ya mwaka wa
ishirini ya ushirikiano kati ya mji huo na mji wa Bagamoyo.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi ya kinyago cha umoja meya wa
mji wa Vallejo Mtahiki Osby Davis wakati wa sherehe ya kumbukumbu ya
miaka ishirini ya ushirikiano kati ya mji huo na mji wa Bagamoyo
(picha na Freddy Maro)
0 comments:
Post a Comment