Rais
Dr.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa na mwenyeji
wao Rais Barack Obama wa Marekani wakati wa dhifa ya kitaifa
iliyoandaliwa kwa heshima ya viongozi wanaohudhuria Mkutano Mkuu wa 68
wa Umoja wa Mataifa jijini New York(picha kwa Hisani ya Rae Lynn Wargo
wa ofisi ya umoja wa Mataifa)
Home
»
»Unlabelled
» Rais Dkt. Jakaya Kikwete akutana na Rais Obama
Wednesday, September 25, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment