Baadhi ya washiriki katika mafunzo ya hifadhi ya tabaka la ozone jijini Mwanza (Picha na Evelyn Mkokoi)
Bwana
Robnson Swai mwalimu wa VETA Moshi, akitoa mada wakati wa mafunzo kwa
mafundi na washiriki wengine jijini Mwanza katika siku ya pili baada ya
maadhimisho ya siku ya Ozone DunianiKulia
Bwana Sheejo Varghsese, meneja katika kiwanda cha kutengeneza samaki
cha Tanpearch cha jijini Mwanza akiwaonyesha washiriki wa mafunzo katika
maadhimisho ya siku ya ozone, namna mitambo ya kuupozea katika kiwanda
hicho yenye kemikali rafiki kwa tabaka la ozone inavyofanya kazi.
0 comments:
Post a Comment