Mhandisi Romanus Mwang’ingo wa DAWASA akiangalia utekelezaji wa ukarabati wa bomba lilopasuka jana usiku.
Naibu
Waziri wa Maji, Dk. Binilith Mahenge (kushoto) akifuatilia kwa makini
kazi ya kutengeneza bomba liliopasuka, pamoja na Mtendaji Mkuu wa
DAWASA, Archad Mutalemwa jana usiku.
Mafundi wakiendelea na kazi ya kukarabati bomba lilipasuka jana usiku.
0 comments:
Post a Comment