Wednesday, September 4, 2013


Mkutano wa 10 wa Kamati za Bunge za Hesabu za Serikali kutoka Mabunge ya Nchi  wananchama wa SADC ujulikanao kama (SADCOPAC) unaendelea jijini Arusha, ambapo kamati ya Bunge ya PAC ndio mwenyeji wa Mkutano huo.
AMwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Zitto Kabwe akiwasilisha Taarifa ya Tanzania ya utekelezaji wa Maazimio ya Mkutano wa 8 na 9 ikiwa ni matakwa ya Wajumbe wa Mkutano huo ambapo kila Nchi wanachama huwasilisha taarifa hiyo.
BMwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Zitto Kabwe akiwasilisha Taarifa ya Tanzania ya utekelezaji wa Maazimio ya Mkutano wa 8 na 9 ikiwa ni matakwa ya Wajumbe wa Mkutano huo ambapo kila Nchi wanachama huwasilisha taarifa hiyo.
CMwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Zitto Kabwe akimweleza jambo Mwenyekiti wa Umoja wa Kamati za Bunge za Hesabu za Serikali kutoka nchi zilizo kusini mwa jangwa la sahara (SADCOPAC) ambaye pia ni mwenyekiti wa PAC kutoka Bunge la Afrika Kusini Mhe. Sipho Makama wakati wa mapumziko ya Mkutano wa 10 wa SADCOPAC unaendelea Arusha.
DMwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Zitto Kabwe akiuliza swali wakati wa majadiliano ya mkutano wa Umoja wa Kamati za Bunge za Hesabu za Serikali kutoka nchi zilizo kusini mwa jangwa la sahara (SADCOPAC) unaoendelea Arusha.
FMjumbe wa Mkutano wa Mwaka wa SADCOPAC kutoka Tanzania Mhe. Asumpta Mshama akiuliza swali wakati wa majadiliano ya mkutano wa Umoja wa Kamati za Bunge za Hesabu za Serikali kutoka nchi zilizo kusini mwa jangwa la sahara (SADCOPAC) unaoendelea Arusha. Tanzania imewasilisha utekelezaji wa maazimio ya mikutano ya 8 na 9 katika mkutano huo. 
Picha na Bunge

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video